Ufafanuzi wa haipotenyusi katika Kiswahili

haipotenyusi, hipotenusi

nominoPlural haipotenyusi

  • 1

    upande mrefu katika umbo la pembetatu mraba; upande ulioko ng’ambo ya pembewima au mraba katika umbo la pembetatu.

    hanamu, kiegema

Asili

Kng

Matamshi

haipotenyusi

/haIpɔtɛɲusi/