Ufafanuzi msingi wa haja katika Kiswahili

: haja1haja2

haja1

nominoPlural haja

  • 1

    jambo analolihitaji mtu.

    matakwa, maombi, kadhaa, dharura, matilaba, mahitaji

Asili

Kar

Matamshi

haja

/haʄa/

Ufafanuzi msingi wa haja katika Kiswahili

: haja1haja2

haja2

nominoPlural haja

  • 1

    ‘Shikwa na haja’

Asili

Kar

Matamshi

haja

/haʄa/