Ufafanuzi wa Hajja katika Kiswahili

Hajja, Hajjati, Hajati

nominoPlural maHajja

  • 1

    cheo cha heshima anachopewa Mwislamu mwanamke aliyekwenda Makka kufanya ibada ya kuhiji.

  • 2

    mwanamke aliyehiji.

    ‘Hajja Fatuma’

Asili

Kar

Matamshi

Hajja

/haʄʄa/