Ufafanuzi msingi wa hakika katika Kiswahili

: hakika1hakika2

hakika1

kielezi

  • 1

    bila ya shaka.

    kweli, dhati

Matamshi

hakika

/hakika/

Ufafanuzi msingi wa hakika katika Kiswahili

: hakika1hakika2

hakika2

nomino

  • 1

    usafi wa jambo.

    ukweli, yakini, ikirari

Matamshi

hakika

/hakika/