Ufafanuzi wa hakikisha katika Kiswahili

hakikisha

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    kuwa na uhakika wa kutendeka kwa jambo.

    ‘Tafadhali hakikisha kuwa anakunywa dawa’

Matamshi

hakikisha

/hakiki∫a/