Ufafanuzi msingi wa hakiri katika Kiswahili

: hakiri1hakiri2hakiri3

hakiri1

kitenzi elekezi~ia, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    fanya kama kwamba si kitu chenye thamani; shusha chini.

    dharau, tweza, beza

Asili

Kar

Matamshi

hakiri

/hakiri/

Ufafanuzi msingi wa hakiri katika Kiswahili

: hakiri1hakiri2hakiri3

hakiri2

kivumishi

Matamshi

hakiri

/hakiri/

Ufafanuzi msingi wa hakiri katika Kiswahili

: hakiri1hakiri2hakiri3

hakiri3

kivumishi

  • 1

    hutumika katika kumalizia barua zinazoandikwa na mtu kwa yule anayemheshimu.

    ‘Alhakiri’

Matamshi

hakiri

/hakiri/