Ufafanuzi wa halani katika Kiswahili

halani

kielezi

  • 1

    mara moja; sasa hivi.

    upesi, haraka, filihali, ajilani, arubii

  • 2

    papo hapo.

    ‘Anamtaja na halani mwenyewe anatokea’

Asili

Kar

Matamshi

halani

/halani/