Ufafanuzi wa halbadiri katika Kiswahili

halbadiri

nominoPlural halbadiri

Kidini
  • 1

    Kidini
    kisomo kinachoaminiwa na baadhi ya waumini wa Uislamu kwamba kinaweza kumdhuru anayesomewa baada ya kuwa amefanya jambo baya k.v. kuiba.

    ‘Soma halbadiri’
    badiria

Asili

Kar

Matamshi

halbadiri

/halbadiri/