Ufafanuzi msingi wa hali katika Kiswahili

: hali1hali2

hali1

nominoPlural hali

  • 1

    jinsi mambo yalivyo.

Asili

Kar

Matamshi

hali

/hali/

Ufafanuzi msingi wa hali katika Kiswahili

: hali1hali2

hali2

kiunganishi

  • 1

    ambapo; ilhali.

    ‘Aliniambia kuwa alikwenda na hali ni uongo’

Asili

Kar

Matamshi

hali

/hali/