Ufafanuzi wa halibari katika Kiswahili

halibari

nominoPlural halibari

  • 1

    Kibaharia
    mchafuko wa bahari.

  • 2

    upepo mkali.

    dhoruba, dharuba, tufani, kimbunga

Asili

Kar

Matamshi

halibari

/halibari/