Ufafanuzi wa halibu katika Kiswahili

halibu

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya iwe nyeusi.

    ‘Jua limemhalibu’

Asili

Kar

Matamshi

halibu

/halibu/