Ufafanuzi msingi wa halifu katika Kiswahili

: halifu1halifu2

halifu1

kitenzi elekezi~ia, ~ika, ~isha, ~iwa, ~iana

 • 1

  tenda kinyume cha kanuni au sheria; vunja sheria; kataa kutii.

  ‘Halifu mtawala’
  asi

Asili

Kar

Matamshi

halifu

/halifu/

Ufafanuzi msingi wa halifu katika Kiswahili

: halifu1halifu2

halifu2

kitenzi elekezi~ia, ~ika, ~isha, ~iwa, ~iana

 • 1

  rithisha.

  ‘Halifu mali’
  achia

Asili

Kar

Matamshi

halifu

/halifu/