Ufafanuzi msingi wa halili katika Kiswahili

: halili1halili2halili3

halili1

nomino

  • 1

    mtu anayeheshimika.

    mpenzi

Matamshi

halili

/halili/

Ufafanuzi msingi wa halili katika Kiswahili

: halili1halili2halili3

halili2

kivumishi

  • 1

    -enye kuheshimika; -a kupendwa.

Asili

Kar

Matamshi

halili

/halili/

Ufafanuzi msingi wa halili katika Kiswahili

: halili1halili2halili3

halili3

nomino

Kidini

Asili

Kar

Matamshi

halili

/halili/