Ufafanuzi wa halilia mbwe katika Kiswahili

halilia mbwe

  • 1

    taja shahada ya upweke wa Mungu kwa kuhesabu vijiwe vidogovidogo.

  • 2

    soma ‘Laa ilaha illa llahu’.