Ufafanuzi wa halimtumwa katika Kiswahili

halimtumwa

nomino

  • 1

    kiazi kitamu kilicho na rangi ya manjano ndani.

Matamshi

halimtumwa

/halimtumwa/