Ufafanuzi wa halkumu katika Kiswahili

halkumu

nominoPlural halkumu

  • 1

    mshipa mkubwa wa shingoni unaorudisha damu moyoni.

    vena

Asili

Kar

Matamshi

halkumu

/halkumu/