Ufafanuzi wa halmashauri katika Kiswahili

halmashauri

nominoPlural halmashauri

  • 1

    kikundi cha watu maalumu walioteuliwa au kuchaguliwa kuelekeza jambo.

    bodi

Asili

Kar

Matamshi

halmashauri

/halma∫auri/