Ufafanuzi wa halua katika Kiswahili

halua

nominoPlural halua

  • 1

    kitafunio kitamu na laini kinachotengenezwa kwa unga, uwanga, samli na sukari.

    ‘Halua ya badamu/lozi’

Asili

Kar

Matamshi

halua

/haluwa/