Ufafanuzi wa halula katika Kiswahili

halula

nominoPlural halula

  • 1

    uvimbe wa shingoni chini ya taya.

    mlezi

  • 2

    ugonjwa wa meno.

Asili

Kar

Matamshi

halula

/halula/