Ufafanuzi wa hamasa katika Kiswahili

hamasa

nomino

  • 1

    hamu na uwezo wa kufanya jambo.

    bidii, kani, changamoto

Asili

Kar

Matamshi

hamasa

/hamasa/