Ufafanuzi wa hamasisha katika Kiswahili

hamasisha

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    tia watu hamu ya kufanya jambo.

    ‘Hamasisha watu wajiandikishe kupiga kura’

Matamshi

hamasisha

/hamasi∫a/