Ufafanuzi wa hamatani katika Kiswahili

hamatani

nomino

  • 1

    upepo mkali wenye vumbi jingi unaovuma jangwani na katika pwani ya Afrika Magharibi.

    kipupwe

Asili

Kng

Matamshi

hamatani

/hamatani/