Ufafanuzi wa hambarara katika Kiswahili

hambarara

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    sema bila kuwa na hakika.

    ropoka, bwabwaja

Matamshi

hambarara

/hambarara/