Ufafanuzi wa hamdia katika Kiswahili

hamdia

nominoPlural hamdia

  • 1

    mtindo wa kuvaa kanzu na kisuruwali, koti na kofia ya tunga au bulibuli.

    ‘Kuvaa hamdia’

Asili

Kar

Matamshi

hamdia

/hamdija/