Ufafanuzi wa hamira katika Kiswahili

hamira

nominoPlural hamira

  • 1

    kuvu inayofanya unga uliokandwa uumuke.

    chachu

Asili

Kar

Matamshi

hamira

/hamira/