Ufafanuzi wa hamrawi katika Kiswahili

hamrawi

nominoPlural hamrawi

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    kamba inayofungwa katika foromali ya kukisia upepo ili kusaidia katika kuelekeza kamba katika staha chomboni.

Asili

Kar

Matamshi

hamrawi

/hamrawi/