Ufafanuzi wa hamumi katika Kiswahili

hamumi

nominoPlural hamumi

  • 1

    tumbaku ya kuvuta katika buruma.

Asili

Kar

Matamshi

hamumi

/hamumi/