Ufafanuzi wa hamziya katika Kiswahili

hamziya

nominoPlural hamziya

  • 1

    shairi ambalo kila ubeti una mistari thelathini.

  • 2

    shairi la Kiswahili ambalo mtunzi wake ni Aidarus Bin Uthman.

Asili

Kar

Matamshi

hamziya

/hamzija/