Ufafanuzi wa hanchifu katika Kiswahili

hanchifu

nominoPlural hanchifu

  • 1

    kitambaa cha mkononi ambacho hutumika kupengea kamasi na kufutia mikono na uso.

    leso

Asili

Kng

Matamshi

hanchifu

/hantʃifu/