Ufafanuzi wa hangamaji katika Kiswahili

hangamaji

nominoPlural hangamaji

  • 1

    Kibaharia
    matumbuizo ya usiku ya mabaharia.

  • 2

    nyimbo za safarini.

Matamshi

hangamaji

/hangamaʄi/