Ufafanuzi msingi wa hara katika Kiswahili

: hara1hara2hara3

hara1

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha, ~ana, ~iana, ~iwa

 • 1

  enda choo cha majimaji.

  ‘Hara damu’
  endesha

Asili

Kar

Matamshi

hara

/hara/

Ufafanuzi msingi wa hara katika Kiswahili

: hara1hara2hara3

hara2

kitenzi elekezi~ia, ~ika, ~isha, ~ana, ~iana, ~iwa

 • 1

  kiri kuwa uwezo wa mwenzako kuhusu jambo fulani ni bora kuliko wako.

  ‘Tunamhara Ali kwa Kiswahili fasaha’

Asili

Kar

Matamshi

hara

/hara/

Ufafanuzi msingi wa hara katika Kiswahili

: hara1hara2hara3

hara3

nominoPlural hara

Asili

Kar

Matamshi

hara

/hara/