Ufafanuzi msingi wa haraka katika Kiswahili

: haraka1haraka2

haraka1

nominoPlural haraka

 • 1

  bila kukawia au kuchelewa.

  ‘Mwendo wa haraka’
  arubii, ajila, hima

Matamshi

haraka

/haraka/

Ufafanuzi msingi wa haraka katika Kiswahili

: haraka1haraka2

haraka2

kielezi

 • 1

  bila ya kuchelewa.

  ‘Fanya haraka’
  upesi, fuli, chapuchapu, halani, dalihini, firari, arubii

Asili

Kar

Matamshi

haraka

/haraka/