Ufafanuzi wa haramisha katika Kiswahili

haramisha

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya kitu kuwa haramu.

    tangua, batilisha

Matamshi

haramisha

/haramiāˆ«a/