Ufafanuzi msingi wa harija katika Kiswahili

: harija1harija2

harija1

nominoPlural harija

  • 1

    fedha zinazotumika katika shughuli za biashara au za matumizi ya nyumbani.

    gharama

Asili

Kar

Matamshi

harija

/hariʄa/

Ufafanuzi msingi wa harija katika Kiswahili

: harija1harija2

harija2

nominoPlural harija

  • 1

    hoja nyingi za maneno zisizokwisha.

    ‘Mtu huyu ana harija mno’

Asili

Kar

Matamshi

harija

/hariʄa/