Ufafanuzi wa hariji katika Kiswahili

hariji

kitenzi elekezi

  • 1

    toa fedha za kununulia vitu vya biashara au vya nyumbani; toa matumizi.

    tumia

Matamshi

hariji

/hariʄi/