Ufafanuzi wa harita katika Kiswahili

harita

nominoPlural harita

  • 1

    mbegu nyeusi za mviringo kama gololi, maganda yake hutumiwa kwa kufulia.

    ‘Mbegu za harita’

Matamshi

harita

/harita/