Ufafanuzi wa harufu katika Kiswahili

harufu

nominoPlural harufu

 • 1

  hewa iliyochanganyika na mnukio wa kitu fulani.

  ‘Harufu nzuri’
  ‘Harufu mbaya’
  ‘Harufu kali’
  rihi, mnuko

Asili

Kar

Matamshi

harufu

/harufu/