Ufafanuzi wa Harusi ya kilili katika Kiswahili

Harusi ya kilili

  • 1

    harusi ambayo bwana harusi huchukuliwa juujuu katika siku za fungate.