Ufafanuzi wa hasha! katika Kiswahili

hasha!

kiingizi

 • 1

  hapana!
  la!
  siyo!

 • 2

  neno la sisitiza.

  ‘La hasha’

Asili

Kar

Matamshi

hasha!

/ha∫a/