Ufafanuzi msingi wa hasidi katika Kiswahili

: hasidi1hasidi2

hasidi1

nominoPlural mahasidi

  • 1

    mtu anayeonea kijicho mafanikio ya wengine; mtu mwenye husuda.

Asili

Kar

Matamshi

hasidi

/hasidi/

Ufafanuzi msingi wa hasidi katika Kiswahili

: hasidi1hasidi2

hasidi2

kitenzi elekezi

Asili

Kar

Matamshi

hasidi

/hasidi/