Ufafanuzi msingi wa hasimu katika Kiswahili

: hasimu1hasimu2

hasimu1

nominoPlural mahasimu

 • 1

  mtu ambaye amegombana na mtu mwingine na hawasemezani.

  mpasi, mshonde, adui

 • 2

  mgomvi

Asili

Kar

Matamshi

hasimu

/hasimu/

Ufafanuzi msingi wa hasimu katika Kiswahili

: hasimu1hasimu2

hasimu2

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  piga vita.

  gombana

 • 2

  farakana kwa ajili ya ugomvi; piga pande.

Asili

Kar

Matamshi

hasimu

/hasimu/