Ufafanuzi wa hasiri katika Kiswahili

hasiri

kitenzi elekezi

  • 1

    tia hasara.

    umiza, haribu, dhuru

Asili

Kar

Matamshi

hasiri

/hasiri/