Ufafanuzi wa hatamu katika Kiswahili

hatamu

nominoPlural hatamu

  • 1

    ugwe wa kamba au ngozi unaofungiwa lijamu ya kumwongozea farasi au punda.

    fio, zimamu

Asili

Kar

Matamshi

hatamu

/hatamu/