Ufafanuzi wa hatarisha katika Kiswahili

hatarisha

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    tia katika hatari.

    ‘Hatarisha roho’
    ponza

Asili

Kar

Matamshi

hatarisha

/hatari∫a/