Ufafanuzi wa hataza katika Kiswahili
hataza
nominoPlural hataza
- 1
haki ya kisheria anayopewa mgunduzi au kampuni ya kukataza mtu mwingine asichukue au kuiga kazi zake.
- 2
hati anayopewa mgunduzi au kampuni ya kukataza mtu mwingine asichukue au kuiga kazi zake.