Ufafanuzi wa hati katika Kiswahili

hati

nomino

 • 1

  mwandiko
  and → herufi

 • 2

  maandiko rasmi ya Serikali kama mapatano.

  ‘Hati ya urafiki’
  chata

 • 3

  karatasi yenye maandiko yanayoshuhudisha jambo au kitu fulani.

  cheti

Asili

Kar