Ufafanuzi wa hati ya nyumba katika Kiswahili

hati ya nyumba

  • 1

    cheti cha kuthibitisha mwenye kumiliki kiwanja.

    ‘Weka dhamana hati ya nyumba’