Ufafanuzi wa hauli katika Kiswahili

hauli

nominoPlural hauli

Kidini
  • 1

    Kidini
    mkusanyiko wa watu kwa madhumuni ya kumkumbuka marehemu baada ya mwaka mmoja.

Asili

Kar

Matamshi

hauli

/hawuli/