Ufafanuzi wa hawaji katika Kiswahili

hawaji

nomino

  • 1

    kiungo cha unga wa manjano kinachotiwa kwenye mchuzi.

    bizari

Matamshi

hawaji

/hawaŹ„i/