Ufafanuzi wa hawara katika Kiswahili

hawara

nominoPlural mahawara

  • 1

    mwanamke au mwanamume anayekaa na mtu asiyeoana naye.

    kimada, bibi

Asili

Kar

Matamshi

hawara

/hawara/